Friday, January 27, 2012

MATENDO YA SHETANI

Neno hili hutumika mara 35 katika Agano Jipya. Iblisi kwa Kigiriki diabolos ni jina linalomaanisha "Mtapitapi" "Mpinzani"; "Mshtaki" - sawa na Shetani.




Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. 

Shetani aajulikana pia kwa jina la Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga"). 

Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani ni mfano tu wa uovu na dhambi.
Shetani kwa Kiebrania  Satan, kwa Kigiriki Satanâs, kwa Kilatini Sátanas ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

******************************* 

RAFIKI, UMEISOMA HII...!!!!????????????
KATIKA PEKUA PEKUA KWENYE FACEBOOK NIMEKUTANA NA HII HABARI HaPa.
TAFADHALI SOMA KWA MAKINI NA UTAFAKARI UKWELI WAKE.....

SEMINA ELEKEZI YA MASHETANI.

Lucifer, Mkuu wa mashetani aliitisha semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano

huo alisema:-

"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba za IBADA" Tumeshindwa
...kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu ukweli"
Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME yao " "Mara wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa yamefika mwisho." Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo,

LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...." "Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Lucifer:
"wataabisheni WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana na DINI zao na wasifungamane katika KUMCHA MUNGU"


"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza

kwa jazba.

LUCIFER aliwajibu:
"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika maisha yao na muwaanzishie mipango mingi sana isiyohesabika ili kujaza akili na ufahamu wao. "Washughulisheni na kutumia, na kutumia, na kutumia; na kukopa, nakukopa, na kukopa."

"Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume zao wafanye kazi kwa siku sita hadi saba kwa wiki, na masaa 10 hadi 12 kwa siku, ili wasiweze kupata nafasi ya kutulia na kutafakari chochote kulingana na mfumo huo wa maisha." "Wazuieni wasiwe na nafasi ya kukaa na watoto wao" "Wachocheeni zaidi akili na fahamu zao ili kuhakikisha kwamba hawaiskii ile sauti ndogo tulivu ya Mungu wao."

"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu, popote wanapoendesha gari au wanapotembea kwa miguu. Waache TV,VCR, CD na KOMPYUTER zikiwa zimewashwa kama kawaida majumbani mwao na mhakikishe kwamba kila duka na mgahawa kote duniani linapiga muziki usiokuwa wa KIDINI tena mfululizo bila kukoma." "Hii itasonga akili na fahamu zao na kuvunja ule muungano kwa MOLA WAO."

"Jazeni magazeti na vijarida mbalimbali vya upuuzi kwenye meza zao za kahawa na chai Duniani kote." "Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao kwa muda wa masaa 24." "Ingilieni kwenye muda wao wa kuendesha barabarani kwa kuwaonyesha mabango na matangazo.' "Kwenye masanduku ya posta na barua pepe jazeni vipeperushi
na majarida na kila aina ya matangazo ya habari za vitu na hudumu yanayowapa matumaini ya uongo."



"Wekeni wanawake warembo sana mitaani, club, maofisini na kwenye Televisheni na majarida ili kwamba Wanaume walioko kwenye ndoa wadanganyike na kuamini kwamba urembo wa nje ndio muhimu, na wasiridhike na wake zao."

"Wafanyeni wake zao wachoke sana wasiweze kuonyesha upendo kwa waume zao nyakati za usiku.Wapeni maumivu ya kichwa ili wasiwape waume zao upendo wanaouhitaji sana,ili waanze kutazama kwingine. Wafanyeni Wanawake wawadharau Waume zao na kuwapuuza.

"Hiyo itaparaganyisha familia zao haraka sana !
"Wapeni WANADAMU Waalimu wa uongo ili wawapotoshe wasifundishe maneno ya MUNGU ya kweli kwa watoto wao na waumini wao."

"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala yake wapeni kutalii kwenye maeneo ya ajabu, matukio ya michezo, matamasha, kumbi za sinema na video."Wafanye wawe 'BUSY,' 'BUSY,' 'BUSY,! Yaani wasongwe na kusongwa na kusongwa na kazi kwelikweli!"
"Na wanapokutanika kwenye ibada zao za kiroho wafanye waingie katika umbea na fitina na kuzungumzia mambo madogo madogo ya umbea na fitina ili waondoke wakiwa na dhamira mbaya zilizochafuliwa."

"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maisha yao ili wasiwe na nafasi ya kutafuta msaada na nguvu za MUNGU. Muda si mrefu watakuwa wakitegemea akili zao wenyewe, badala ya maelekezo ya MUNGU, huku wakihatarisha afya zao na za familia zao kwa ajili ya maangamizi yao wenyewe."

"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Huu ni mkakati kweli kweli. Mashetani yaliondoka kwenye mkutano yakiwa na hamu kubwa sana ya kutekeleza majuku hayo waliyopewa na kuanza kuwafanya WANADAMU wawe wa kukimbia na mambo huku na huko. Watakuwa na muda
mdogo sana kwa ajili ya Mungu wao na familia zao. Wakakosa muda wa kuwaeleza wengine kuhusu MAMBO YA IBADA na kubadili maisha ya wanadamu.
 
*******************************
 
SWALI:- JE SHETANI AMEFANIKIWA

KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!! TAFAKARI KUANZIA SASA KUTATHMINI UMETOKA WAPI, UKO WAPI NA UNAKWENDA WAPI. PIA UNA MKAKATI GANI WA KUPAMBANA NA MIKAKATI YA SHETANI.
'UBIZE' au kutingwa na kazi kunamaanisha : kuwa chini ya mkataba au utumwa wa shetani?
HABARI HII NI KWAHISANI YA mtayarishaji.blogspot.com

PLEASE PASS THIS ON, IF YOU ARE NOT TOO BUSY !!
 
VERY INTERESTING TO LEARN.
 

Thursday, January 26, 2012

EE BABA POKEA SIFA



Ile video iliyokua inasubiriwa kwa hamu kubwa sana sasa imesha kamilika ni Ee Baba pokea sifa.wimbo ambao umekua ukiwabariki watu wengi sasa video yake ni hii hapa. bado kazi  kuandaa Dvd mpya na ya kwanza kutoka kwa Prince Amos inaendelea. DVD hiyo inatarajiwa kutoka mapema mwaka huu.

Friday, January 20, 2012

CALL TO SALVATION


http://orkutluv.com/  graphic comments-Lovely Good Morning Good Morning Pictures Glitter Comments & Graphics


Have you ever seen a butterfly? Or watched an early morning sunrise? Have you ever seen a flowing river? Or caught a peek at a rainbow?

The Bible says in Romans 1 vs. 19: 20 "
...because that which may be known of God is manifest in them, for God has shewed it to them. For the invisible things of Him from the creation of the world are clearly seen, being understood by the things that are made, even His eternal power and Godhead; so that they are without excuse: ".

All the works of creation reveal the glory and power of God and speak a message so clear you cannot fail to hear. God went further and revealed Himself to us through His Son Jesus Christ. The scripture declares Him to be the very image of God, and the brightness of his glory. Jesus himself said "He that has seen me has seen the Father."


Through His death He showed us the way to fellowship with Him, and now He wants us to receive the divine life which Jesus made available so that He can reveal Himself in us, and through us.

Today, you can receive the life of God into your spirit, and become a brand new creature in Christ, so that God's beauty and power can be seen in you. All you have to do is say this prayer and mean it with all of your heart; and God will hear you.
O Lord God, I believe in Jesus Christ, your Son who died for me and was raised from the dead for my justification.

Your Word says in Romans 10 vs. 9 & 10 "...that if thou shall confess with thy mouth the Lord Jesus, and shall believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shall be saved. For with the heart man believeth unto righteousness; and with the mouth confession is made unto salvation."

Therefore I confess Jesus Christ as Lord of my life from this day forth. I receive remission of sins for my soul and I receive eternal life into my spirit.

I am saved! I am born-again! Thank you for making me your child.

Tuesday, January 17, 2012

TODAY’S SCRIPTURE “I will praise You, for I am fearfully and wonderfully made; marvelous are Your works, and that my soul knows very well” (Psalm 139:14, NKJ)

Have you ever noticed that when you ask someone “Who are you?” a lot of times they’ll say, “I’m a salesman.” “I’m a minister.” “I’m a coach.” “I’m a teacher.” Many people find their identity in what they do. The problem with this kind of thinking is that people identify themselves with their negative habits and strongholds, too. I hear people say, “I’m an alcoholic; I just can’t beat it.” No, that’s not who you are, that’s what you do. But if you keep thinking that way and talking that way, it will become so ingrained on the inside that you’ll convince yourself that it’s true, and it will keep you from rising higher.
One time somebody told me, “Joel, I’m a drug dealer.” He was embarrassed by it. He didn’t want to live that way. I told him what I’m telling you, “That’s not who you are. If you’ve accepted Jesus as your Lord and Savior, then who you are is a child of the Most High God. It’s time to start acting like it because you have a destiny to fulfill.”
As a believer, you are the righteousness of God in Christ! You are the head and not the tail! You are an overcomer! Today, embrace who you are in Christ and don’t ever let your performance change your identity.

A PRAYER FOR TODAY

Father God, thank You for who You are and for who You’ve made me. I declare today that I am the righteousness of God in Christ. Help me to keep my identity in You and glorify You in all that I do in Jesus’ name. Amen.

My new video

Tuesday, January 10, 2012

TANGAZO

 Napenda kuwajulisha wasikilizaji wa The PRINCE AMOS RADIO Kwamba kutokana na kukabiliwa na kazi ngumu ya kuandaa video yangu mpya na ya kwanza. Video hiyo niliifanya lakini nikagundua kwamba ina makosa makubwa napia ubora wake hauendani na Ubora wa kazi za sasa kwani nahitaji kutoa kazi nzuri itakayo mletea Mungu Utukufu na itakayo leta watu kwa Yesu. nimefunga matangazo ya radio kwa muda. imekua ni vigumu mno kuandaa vipindi kwani nimekua na majukumu mazito sana, lakini mwaweza kuendelea kusikiliza vipindi mbali mbali nilivyowahi kuvifanya nanyi Mtabarikiwa sana angalia hiyo Radio player upande wako wa kulia, napenda kuwaomba radhi pia nahitaji maombi yenu ili video hiyo iweze kuleta watu kwa Yesu na wala sio kuonyesha Ufahari

Monday, January 9, 2012

TODAY’S SCRIPTURE “The tongue has the power of life and death...” (Proverbs 18:21, NIV)

God has given us amazing power through the use of our words. God created the world with the words He spoke, and we also have creative power with the words that we speak.
Maybe you aren’t where you want to be in life today. Could it be because of the words you’ve spoken in your past? Have you spoken words of death by saying things like, “I’ll never rise any higher; I’ve gone as far as I can go?” Or maybe you’ve said, “I’ll never break this addiction. I’ve had it too long; it’s too hard.” Now, you are eating the fruit of those words — you’re still in the same place.
If you are ready to change your situation, then it’s time to change what you say about your situation. If you want a different harvest, you have to change the seeds you are sowing. Today, choose to speak life over your future. Let your attitude be, “This may be the way it’s been in the past, but this is not the way it’s staying. I’m coming up higher. I may feel weak, but my declaration is that I am strong.” Speak life, choose life, and move forward in His victory and blessing.

Sunday, January 1, 2012

PRINCE AMOS MINISTRY / Mipamgo ya Huduma kwa mwaka 2012


Prince Amos ministry ni Huduma ya Kuhubiri neno la Mungu kupitia uimbaji na mafundisho ya Neno la Mungu
Huduma hii ilianza Rasmi mwaka 2005 pale muimbaji wa muziki wa injili Prince Amos alipoanza Rasmi huduma hiyo nakufanikiwa kurekodi wimbo wake wakwanza unaoitwa EE BABA POKEA SIFA. kisha baadae kurekodi Album nzima iliyo kamilika Rasmi mwaka 2007  iliyoitwa Ee Baba pokea sifa. Kwasasa prince amos anajumla ya Album Tano  ambazo ni 1. EE BABA POKEA SIFA, 2. NJOZI YA IJARA, 3. ANZA NA BWANA, 4. MOTO WA MTAKASAJI, 5. AMENIFANYIA NJIA.
Mipano ya huduma ya Prince Amos kwa mwaka huu  ni kutoa DVD itakayo itwa  THE BEST OF PRINCE AMOS Video collection 1. video hii itakua na nyimbo mchanganyiko kutoka katika Albums mbali mbali za Prince Amos. Tayari nyimbo nne zimesha kamilika sasa zimebaki nyimbo sita. Tunahitaji mchango wako wa hali na mali ili kuweza kukamilisha kazi hii Maombi yako niyamuhimu sana. ikiwa kama ungependa kuchangia huduma hii piga simu number +254 702 848 228 , +255 753 266 073, pia waweza kuchangia kupitia M pesa kwa wakazi wa kenya na uganda M pesa simu namba +254 702 848 228 Kwa Tanzania M pesa vodacom simu namba +255 753 266 073 , kwa wale wanaoishi inje ya Africa mashariki waweza kutuandikia Email: princeamos@hotmail.com . Kwakufanya hivyo utakua umeshiriki katika kuhubiri injili ya Ufalme wa Mungu na kutimiza wito mkuu wa kwenda ulimwenguni kote kuhubiri habari njema. KARIBU TUHUBIRI INJILI PAMOJA